Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unajua alichokifanya kaka??? Me kaniudhi nilimwambia sisemi kitu had uje ww kwanza
Mwenzio anakutana na watu, anafanyakazi na watu, na ana socialize na watu, ukimfatilia kwa kila kauli anayoitoa kwa wengine utajipa pressure bure dada, haiwezekani awe kama mhubiri wa dini au mlokole kwamba yoyote atakae kutana nae amhubirie neno la Mungu tuuu mwanzo mwisho! Kama imetokea kuna neno kasema ukalisikia likakuudhi unamfinya kidogo tu mkononi au give him a soft slap shavuni aache au anyamaze na wala hakuna haja ya vikao au kesi kwa hilo

Maadhali anakupenda na wewe unathibitisha hilo basi dogo hilo Madame, take it easy dadaake,HE IS YOURS. Najua alichosema sio alichofanya....Hakuna kubwa la kuleta kesi dada
 
hahahhahaa kaka basi yaishe mekosea mm
 
give me a soft slap beb

asante shemeji, umeokoa jahazi leo hata kula na mimi amekataa dada ako
 
Kwa hiyo hapo umefrah enh bae?? Ngoja nijifanya kama sikuoni yan hata nikiona id ako nipite kama sjakuona hapo kama nitaweza sababu unanijua hun ntajitahidi iwe hivo tuepushe hizi misunderstanding ndogo ndogo loh
 
unaweza ukaangalia ila usiyabebe yaache hapo hapo sweetie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom