Makapuku Forum

Makapuku Forum

TUOMBE:

BABA YETU na MUNGU WETU MWEMA Asante kwa jumapili hii njema ya leo tunakushukuru kwa kuwa umekuwa mwema sana kwetu wapo wengi walitamani kuiona siku ya leo hawajaweza umetuchagua kwa neema na wema wako mkuu Baba Sifa Shukurani Heshima na Utukufu ni kwako Baba Mfalme wa Amani.

Tunaomba Toba kwa yale yote ambayo tumekosa kwa matendo maneno mawazo na kutotimiza wajibu mbalimbali kwa nafasi zetu..Turehemu twakusihi.
Tunawaombea wote wasio na mwombezi.

Tunawaombea uponyaji wa mwili na roho wagonjwa wote
Wape faraja idumuyo wafiwa ,wagane,wajane na yatima.
Wagange waliopondeka moyo na wenye changamoto mbalimbali.

Waimarishe watoto wetu ,wajukuu zetu nawale tunaoishi nao majumbani na wanaotusadia kila siku katika imani na wawe na hofu ya Mungu.

Bariki kazi za mikono yetu mashambai,maofisini,ujasiriamali ukaimarikshe kila eneo.
Ongeza mapato yetu kutokana na bidii zetu.

Tunawaombea watumishi wote wa Mungu katika kueneza injili wakakutangaze wewe daima.

Walinde wasafiri wote nchi kavu,majini,angani wasafiri salama na kufika salama.

Tunaibariki siku ya leo ukaonekane katika kila eneo.
Tunaomba katika jina la Yesu Kristo Amen.

JUMAPILI NJEMA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE
 
Tumsifu Yesu Kristo
Kristo.....
 
Ameni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom