Makapuku Forum

Haijanifikia binamu jamani mbona unanifanyia hivyo wote wanisuse hata ww
...marhaba, hivi hela ya juice haijakufikia tu? Mbona nimetoa utaratibu wa namna gani upate juice?
 
Haijanifikia binamu jamani mbona unanifanyia hivyo wote wanisuse hata ww

...oh, mimi nimetoa mchango mkubwa sana na kama haujakufikia kwa kweli nitasikitika sana, hebu ngoja niangalie kumbukumbu zangu kama muamala wangu ulifika.

wengine wote hawawezi kukususa na mimi nitajitahidi sana nisiwe wa mwisho kutotuma hela. Mimi na wewe tena, karanga na chapati au karanga na mchanga.

Mchango wa jwisi nimetuma, angalia tena
 
 
Binamu mbona haijanifikia jamani umemtumia nani
 
Binamu mbona haijanifikia jamani umemtumia nani


...watu watakuwa waliuficha mchango wangu, well ngoja nikutumie

Ukitaka juice nzuri andaa matunda (kama unataka ya maembe- tafuta maembe yaliyoiva vizuri) osha katakata vipande vidogo. weka kwenye blender na saga. tafadhari usisage kokwa la embe.

Kisha ongeza maji safi kidogoo weka mabonge ya barafu kuleta ubaridi ili juice isiwe nzito sana ukadhani unakunywa uji.

Nikutakie unywaji mzuri wa juice na kama ukitengeneza nyingi niwekee kwenye glass nakuja kunywa mimi ndugu yako

 
Eenh
 
Muziki: Mwanzo wa Wiki Njema

...nilikukumbuka sana Kapuku mwenzangu kipindi cha wikend, najua ulinikumbuka pia na hata kama hukunikumbuka sio tatizo langu wala lako, ni la yule atakayetaka kujua. Kifupi tu nikusalimie na kukuambia kuwa bila wewe jukwaa hili linabaki kuwa jukwaa la kawaida tu kama majukwaa mengine, lakini kwa sababu wewe upo hapa basi MF iko juu ya zaidi unavyofikiria. Nimefurahi kuona aunt yangu Shunie karudi baada ya kutojisikia vema siku mbili tatu hizi. Oh, nilitaka kusahau, nilimuona mopao mokonzi mwenyewe kokobanga makaveli10 , kama kawaida ni jambo zuri kukuona hapa kila wakati mdau.

Muziki sasa, msione kimya sijawaandikia kuhusu habari za anko wangu, hajambo anaendelea kuuutumikia mwili. Akimalizia busibess zake atarejea hapa na tutaendelea na mambo yetu ya kiukoo. Nikutakie wiki njema mdau

 
Asante binamu
 
Umwambie anko wako wodikapu imeisha,cjui atasingizia nn
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…