Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
NimeahakaribiaFresh tu
Karibu sana
...................
NimeahakaribiaFresh tu
Karibu sana
...................
Ahsate bestSalama. Karibu
Kasome post # 3Nimeahakaribia
Mkuu sumbaiGood tafuta helaaa
AaaghHapa inabidi kuapply ile kanuni ya kuzaliwa masikini sio dhambi ila kufa masikini ndio dhambi,
Baada ya hapo unafight hadi kieleweke
Get rich or die hard trying
Ha ha mkuu kwani ndo unaniona leoKasome post # 3
Halafu hapa hatubagui MTU
UkilLIKE wanakuLIKE
Ukiuchuna wanakuchunia
Ndo ivo
![]()
![]()
![]()
![]()
...................
Itakuwa hutokei sanaHa ha mkuu kwani ndo unaniona leo
Nikweli hupotea poteaItakuwa hutokei sana
Ndo nikahisi mgeni
..............
Kabisa.Atajifungua tu salama na maisha yataendelea vizuri bila shida
Sumbai kuwa nami kivipi?Mkuu umebarikiwa saana kuwa na linamo
Sumbai kwani hujaacha tu?Good tafuta helaaa
Unajua kujipa moyo Kama mashabiki wa man u.Mkuu sumbai
Ngoja nizitafute, sitaki huyu mtoto apate shida... she is worth my love!
Mi pia nilichoka nikaaga mapemaaaaAaagh
Chief ulichonifanyia jana ilibidi nipate off kwanza
Ndo mana sikuonekana zile nyakati
Si unajua samtaimu mambo yanabana km sukari ya magendoMi pia nilichoka nikaaga mapemaaaa
Tutakutana kwenye 33k
# TeamWinner
Mi pia nilichoka nikaaga mapemaaaa
Tutakutana kwenye 33k
# TeamWinner
hayaaaaJamani c nishahama izo man u na yanga tangu janaUnajua kujipa moyo Kama mashabiki wa man u.
Ni nzuri tu shem, mambo yanaendaje.Salama shemdarling
Habar ya wewe??
Nilikuwa na kazi maalumu![]()
![]()
hayaaaa
Ila tunakomaa kibishiSi unajua samtaimu mambo yanabana km sukari ya magendo
![]()
![]()
![]()
![]()
.....................
Mambo ni poa shemNi nzuri tu shem, mambo yanaendaje.