Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Nimeweka
mwanzo mwisho......................
Nimeweka
mwanzo mwishoLakini ziko pale na wala hazitakaa zitolewe sasa kaweke wewe uone kama uzi utachukua dakika 5Mods wanaendeshwa na wakongwe komizuka mizuka tu
Kaangalie MMU kuna thread kibao za wakongwe HAZISTAHILI kuwepo kule
Mfano "Date with Ungabu" au story za Mange Kimambi(igweeererrr)
Hizo ni za chitchat tu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.....................
Asanteeee kwaNimewekamwanzo mwisho
......................
nimezipata za kumwaga manake uzi ulikuwa na ukosefu wa 
Madam mie nipo, ni matatizo tu ndo yamenifanya nipotee kidogo. Lakini kwa sasa nimerudi.Umeadimika sana
Karibu tena, tulikukumbuka sasa, matatizo ni sehemu ya maisha hivyo tunasolve na maisha yanaendeleaMadam mie nipo, ni matatizo tu ndo yamenifanya nipotee kidogo. Lakini kwa sasa nimerudi.
Kaweke "Date with a kapuku" au "kitaa story*Lakini ziko pale na wala hazitakaa zitolewe sasa kaweke wewe uone kama uzi utachukua dakika 5
Nakwambia kufumba na kufumbua uzi hautakuwepo chezea wao???Kaweke "Date with a kapuku" au "kitaa story*
Utatolewa nduki ndani ya sec 1
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Eti eeh?ila ni ya kukata sasaUtakuwa bado una kamba mguuni.
![]()
![]()
Upunguze kuadimikaEti eeh?ila ni ya kukata sasa
Napenda basi kuadimika najikuta tu sipo na siwezi kuwepoUpunguze kuadimika
Huwa wachungulia na kukimbiaHa ha mkuu kwani ndo unaniona leo
Inabidi kukomaa tu kiubishi ubishi maana hamna namna nyingineNapenda basi kuadimika najikuta tu sipo na siwezi kuwepo
Ukichungulia sasa ndo unaumia kabsaa mana umeachwa palefu mnoooo
Nawe legeza msimamo banaUnajua kujipa moyo Kama mashabiki wa man u.
@Th Nam sijamuona ila huyo wifi yako alikwepo asubuhiNimewamiss Th Name na wifi yangu lizziebettie