Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
I got it bby..Nashukuru sana kwa kupata mke mwema anaye kuwa upande wa mume wake bila kujali nini,NAKUPENDA SAN MY DEAR amaizing...Na nitaitafuta hizo nyimbo soon hapa nasikiliza wimbo kutoka kwa JUANITA BYNUN wimbo unaitwa DON'T MIND WAITING....Unabairki sana wife karibu tusikilize pamoja...
Lamba lamba?? PoleNdiyo maana nimeamua kuhamia Azam
Wasalimie sana huko....Kwetu.
Home sweet home.
Kama unataka nihamie yebo yebo utasubiri sana.Lamba lamba?? Pole
Umenikumbusha ile style yetu ya zamani ya kuandika barua za mtongozo.Wasalimie sana huko....
Baada ya salamu sisi wote ni wazima hofu na mashaka ni juu yao walio mbali na upeo wa macho yetu
Mwaka huu mmebahatisha,mwakani zamu yetu.![]()
![]()
![]()
![]()
salamu zao
Nimekumbuka hili la sukari. Hivi nani alikuwa shule 1979-80 wakati wa vita ya Uganda au nani alikuwa nyumbani vilevile na kama anakumbuka aniambie nani alikuwa anakunywa chai chenye sukari? Je, tunarudi kule kule? Je, tunapigana vita gani sasa? Jibu bila jazba hii ni makapuku siyo thinkers.
.Tunakupenda sana Grandma.Unajua mimi saa nyingine naandika kama jokes lakini saa nyingine kuna ukweli hivyo msinichukie mnipendetu.
Salama shemdarlingHabari ya jioni Wapendwa.
Shkamoo bibiUnajua mimi saa nyingine naandika kama jokes lakini saa nyingine kuna ukweli hivyo msinichukie mnipendetu.