Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Mburaaaaa!Town ipi hy mkuu na kijijini wapi?
Ukishakuwa na mjini lazima uwe na kijijini
Mburaaaaa!Town ipi hy mkuu na kijijini wapi?
Mofaya zinasababisha Tezi dumeHapana broh siwez jaribu. Mm nitakula Mofaya tu
Mimi niko pouwa ..Mzima kabisa mie hofu kwako tu
Njoo Bl Park
Mimi niko pouwa ..
Nakula maisha tuu aisee...manake mida zingine huwa yananizingua
Tabata leo...
Ila saa 5 tunahamia Buckets..
Uko wapi ?Ooh sawa T
Uko wapi ?
I told ya, ulipo nipo pls haya maswali ya nn tena, you are my bae right???umejuaje kama nipo huku??


alipo upo nyuma yake
I told ya, ulipo nipo pls haya maswali ya nn tena, you are my bae right???
Hili cheko jamani umeniogopesha ujueAsante madam S tunashukuruckwamba ww na mwanaume wako mnapumua![]()
![]()
![]()
Ahahahhahaa eh ndio nipo kama mkia ujue hatak niende kt yeye kajaa huko ananiogopesha asije kua ana bi mdogo kutoka kenyaWouuzeer wouzeeralipo upo nyuma yake
Hahahaaaaa...!
Mama D mwenyeweeee!
Sasa hapa ,tutamuagiza nani vinywaji? au tunapiga soga bila vinywaji?Tuko hapahaoa mpaka kieleweke
Ahahahhahaa eh ndio nipo kama mkia ujue hatak niende kt yeye kajaa huko ananiogopesha asije kua ana bi mdogo kutoka kenya
Noo tezi dume ni ugonjwa wa wanaume wa dar..Mofaya zinasababisha Tezi dume
Toa code ,nitimbeMburaaaaa!
Ukishakuwa na mjini lazima uwe na kijijini