Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,451
Town ipi hy mkuu na kijijini wapi?Tuko mjini mkuu..
Tunaanzia town leo..then ndio tunarudi kijijini
Town ipi hy mkuu na kijijini wapi?Tuko mjini mkuu..
Tunaanzia town leo..then ndio tunarudi kijijini
Unataka Dogo anywe beer?Dogo njoo ule beer..
Niko poa, niko fine, alhamdulillah Mungu ni mwema mimi na mwanaume wangu tunapumuaNi nzuri kabisa
Ndugu yetu madam S hajambo
Wap brother bia zinaliwa..Dogo njoo ule beer..
HahaaaaUnataka Dogo anywe beer?
Abeeh sijambo mie TMama D..
Hujambo.. ?
Mzima kabisa eeh?Abeeh sijambo mie T
Le madameeeNiko poa, niko fine, alhamdulillah Mungu ni mwema mimi na mwanaume wangu tunapumua
Tuko hapahaoa mpaka kielewekeMakapuku Leo full high day ,mnaanzia wapi?
ShikamoooShemelaaa
Hujambo
Asante madam S tunashukuruckwamba ww na mwanaume wako mnapumuaNiko poa, niko fine, alhamdulillah Mungu ni mwema mimi na mwanaume wangu tunapumua

Siku hizi unakula ngano dogo?Wap brother bia zinaliwa..
Hapana broh siwez jaribu. Mm nitakula Mofaya tuSiku hizi unakula ngano dogo?
Mzima kabisa mie hofu kwako tuMzima kabisa eeh?
yes madam hajambo ni mzima kabisa shemelaNi nzuri kabisa
Ndugu yetu madam S hajambo
umejuaje kama nipo huku??Niko poa, niko fine, alhamdulillah Mungu ni mwema mimi na mwanaume wangu tunapumua
kwema bro, aje ajeKaka zangu wasalaaaam