Realy? That is good kuona tunapata muda wa kuja humu na kuchart na vijana. I like it sababu inanifanya niwe active na nisahau upweke sababu watoto hawapo sasa.
Marhabaaa za leo? Kama upo Dar inabidi uwe na shuka sababu leo kimetanda. Sisi tunajiandaa kwenda kulala ila kuna Tennis na mimi ni mgonjwa nitasingizia hili na lile ili game iishe.