Habari za leo? Thanks for your following and everything. Kapuku oyeeeeeee.Asante shem
Habari za leo? Thanks for your following and everything. Kapuku oyeeeeeee.Asante shem
Mkuu Mussolini mambo aje aseeNiko poa kapuku, vp wewe?
Vijana wanapenda sana mjini.Foleni +joto=mateso
Hamia Nyanda za juu kusiniii
Ha haa.... Huko kuna baridi mnoo....nadhani itanishawishiFoleni +joto=mateso
Hamia Nyanda za juu kusiniii
Ruka kichurachura
Wazimaa kabisaa...Nzuri na zako? Sisi wazima.
Ahaaaa haaaah yani kapuku mzima niruke kichuraaaa????Ruka kichurachura
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Nzuri mama, Asante pia mama! OyeeeeHabari za leo? Thanks for your following and everything. Kapuku oyeeeeeee.
Ndio kuzur hukuuuHa haa.... Huko kuna baridi mnoo....nadhani itanishawishi
Unakaa Mbeya?Pole sana shem wangu.
Hamia Nyanda za juu kusini huku hakuna foleni yaani home to job ni km 5 na unatumia dakika chache
Jaribu kusepa kikambale basi ukishindwa kanywe supuAhaaaa haaaah yani kapuku mzima niruke kichuraaaa????
Km vipi atembee kikambalekambale
Karibu sanaaaa le presidaaaaUnakaa Mbeya?
Nakujaga sana huko
........................
Kichura chura ni poa zaidiKm vipi atembee kikambalekambale
................

Ndo nyumbani huko nafikiaga ILOMBAKaribu sanaaaa le presidaaaa
Kweli hali ya hewa inashawishi!Ndio kuzur hukuuu
Saizi unajifunika blanket 2 tena zile nzitooo
Blanket LA manuu zuri saanaNdio kuzur hukuuu
Saizi unajifunika blanket 2 tena zile nzitooo