Ibrahim Msuya
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 572
- 1,264
hay hukuSalama bro
Habar ya wewe???
hay hukuSalama bro
Habar ya wewe???
Dogo naona umerudi.hay huku
Pole bro.
Ayaaaaahay huku

Niko poa kapuku, vp wewe?Hujambo kapukuu
Njema kapuku, Za kwako?Habar yako Mkuu??
Pole sana shem wangu.
Nipo nyuma yako shem
Utamfanya akafungue uzi wa kujipongezaAyaaaaa
Ibrahim Msuya ulipotelea wapi
Nilikumis bana
Yaan wewe ndio le presidaaaa WA kapukus Bitoz tupa kuleeeee
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mie niko poaNjema kapuku, Za kwako?
PreSidaaa huyu ni balaa.
AmesepaaaPreSidaaa huyu ni balaa.
Ha haaa yani huku from tabata relini to segerea km ka NNE hiv inachukua SAA mbili na nusuPole sana shem wangu.
Hamia Nyanda za juu kusini huku hakuna foleni yaani home to job ni km 5 na unatumia dakika chache
Pole Shem daahNipo nyuma yako shem
Nzuri na zako? Sisi wazima.Mambo....mpendwa
Asante shemPole Shem daah
Foleni +joto=matesoHa haaa yani huku from tabata relini to segerea km ka NNE hiv inachukua SAA mbili na nusu
Khàaaaaa.....