Nimekumbuka hili la sukari. Hivi nani alikuwa shule 1979-80 wakati wa vita ya Uganda au nani alikuwa nyumbani vilevile na kama anakumbuka aniambie nani alikuwa anakunywa chai chenye sukari? Je, tunarudi kule kule? Je, tunapigana vita gani sasa? Jibu bila jazba hii ni makapuku siyo thinkers.