Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Jipya lipo unatafutwa
...ninapatikana anko, vipi umesolve ishu ya notification?
Jipya lipo unatafutwa
Taifa hili, linasikitisha linahuzunisha na kuchekesha kwa wakati mmoja.
Ukichanganya ujinga wa kuzaliwa na ujinga wa elimu yetu ndio wanatapika utahira tuuu...huwezi kuamini kama msomi nguli anaogopa deni, yaani hela za makinikia au tanzanite zisitangazwe, kweli!!! Ni hakika, linahuzunisha,, kuchekesha kwa wakati mmoja. Msomi mzima tena wa sheria mimi wa sayansi kimu sijui nifanyeje
Kwani lina tatizo au uliamua kunibwagaa...ninapatikana anko, vipi umesolve ishu ya notification?
Kwani lina tatizo au uliamua kunibwagaa
Asante binamuMuziki: Taratibu
Usiwe na haraka ya kuharakia visivyoharakiwa na ndo maana ninakusalimia kapuku wewe unayepafanya hapa kuwa sehemu nzuri kuwepo. Wewe ni wa kipekee sana na sina kingine cha kukuambia zaidi ya kusema asante kwa kulifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kutembelea.
Muziki sasa, juma tushaligawa kati na kwa wafungaji tunahesabu single digit sasa na world cup ndo inakaribia.
shkamooo
Asante binamu yangu si unajua magazeti nakuwekeaga wewe tu
Hata sijuiKhaaa
Ni nn sasa
Sitakiiiishkamooo







...nami sina namna zaidi ya kukushukuru zaidi maana hata wengine wanasomaga bila matatizo labda wawe na matatizo ya bando jambo ambalo hatuwezi kuwa na namna ya kuwasaidia. Ni tatizo lao binafsi
Hata sijui





unaingia jf kwa kubeepHivi ni kwa niniunaingia jf kwa kubeep
Hivi ni kwa nini
Hata sijui imekuwaje mdogo wangu!Khaaaa
Unaniuliza mm tena sio mm nahitaji jibu kutoka kwako jamani