makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,983
- 104,465
WooooooooozzzzzeeeerrrrrrrrNa mm nasimamia kwenye ukweli wangu zama za kina zidane zimepita sasa hivi kuna kina messi na ronaldo acha maisha mengine yaendelee
WooooooooozzzzzeeeerrrrrrrrNa mm nasimamia kwenye ukweli wangu zama za kina zidane zimepita sasa hivi kuna kina messi na ronaldo acha maisha mengine yaendelee
Yamekuwa hayo tenaBasi shunie akee mwabie asifungue tusije tukadekishwa vyoo bure.
Hapa tugawane umaskini we zuia hii buku jero utajua cha kufanyia(mtu mzima hapangiwi matumizi) na mie hii buki jero nadandia daladala narudi kwetu.
Hata sijui mieNdio nini mwenzetu!!?
Na mie hatuwezi kukoseana, tuko perpendicular. Upande uliopo na mie niko huko huko!! Hata ukisema diamond ndio rais wa tz mie nitaunga mkono na kusema ali kiba ndio makamu wakewewe hata kama kweli nimekukosea huwezi kukubali
na proof nitaleta.










Na mie hatuwezi kukoseana, tuko perpendicular. Upande uliopo na mie niko huko huko!! Hata ukisema diamond ndio rais wa tz mie nitaunga mkono na kusema ali kiba ndio makamu wake![]()
na proof nitaleta.
Haya basi sawa ndugu yangu!!ndiwooo hawapo acha maisha mengine yaendelee tu wakirudi it's okay
Mie nilikwambia uagize nilijua 2500 pesa halali kwa malipo ya kitanzaniaYamekuwa hayo tena

Tayari ushakula makande ya dengu wwHata sijui mie
Mie nilikwambia uagize nilijua 2500 pesa halali kwa malipo ya kitanzania![]()
![]()
![]()
Twenzetu tukafuturu swahiba wangu.Wooooooooooooozeeeeeeeeeer![]()
Twende tukafuturu tuongeze nguvu ya bandama.
Twenzetu tukafuturu swahiba wangu.