Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Wanaozipenda wanaona raha tu wenyewe
Kumbe sometimes mnazigwaya eeh?
Kumbe sometimes mnazigwaya eeh?
Mshkaji wangu umechelewa nimeshaifunga mda si mrefu halafu hizo emoj jamani sizipendagi woiiiFunga pm hiyo mshikaji wangu, nije![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwahiyo mpaka lini tena mshikaji wangu?Mshkaji wangu umechelewa nimeshaifunga mda si mrefu halafu hizo emoj jamani sizipendagi woiii
Kwahiyo mpaka lini tena mshikaji wangu?
Huzipendi sababu ni black and white au?
Pole Sana, ndio changamoto hizo za jf.Yaan niliacha wazi pm karibia siku 4 kilichonichosha mpaka nikaifunga watun sijui wamejuaje kama pm ipo wazi mpaka machizi wa jf wananipm
Hizo emoj za kufunga jicho na kutoa ulimi jamani sizipendi mm
Pole Sana, ndio changamoto hizo za jf.
Usijali sitazitumia tena mshikaji wangu,
Vipi weekend yako lakini inaisha salama mshikaji wangu?Na kweli mshkaji wangu ndio changamoto hizo
Vipi weekend yako lakini inaisha salama mshikaji wangu?
Namshkuru Mungu sana inaisha salama vipi wewe uko ulipo mshkaji wangu
Inaisha salama, tunawaza ya kesho tuamke fresh tuendelee na majukumu mengine
Vipi lakiniHiko ndio cha muhimu kabisa
Ni pouwah tu mshkaji wanguVipi lakini
Wanaozipenda wanaona raha tu wenyewe
Yaan niliacha wazi pm karibia siku 4 kilichonichosha mpaka nikaifunga watu sijui wamejuaje kama pm ipo wazi mpaka machizi wa jf wananipm
Hizo emoj za kufunga jicho na kutoa ulimi jamani sizipendi mm



. Wewe ni famous hapa Jf hakuna ajabu.Jumapili ndio hiyo inaishiaNi pouwah tu mshkaji wangu
Hehehe! Nzuri mbona shemule
. Wewe ni famous hapa Jf hakuna ajabu.
Ndio inaisha hiyoJumapili ndio hiyo inaishia
Ulimpa Blesshope salamu zangu?Ndio inaisha hiyo
Halafu nimesahau nilimpa anakusalimia pia akasema atakutafutaUlimpa Blesshope salamu zangu?