Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hapana sio pochi nene mapenzi ni starehe sio kero
![]()
![]()
![]()
unataka pochi nene tu au?
![]()
![]()
![]()
unataka pochi nene tu au?
Ni kweli mapenzi ni starehe, Ila uvumilivu muhimu piaHapana sio pochi nene mapenzi ni starehe sio kero
Ni kweli mapenzi ni starehe, Ila uvumilivu muhimu pia
Inategemea na uvumilivu na uvumilivu sio uvumilivu wa kuvumilia mashine jitu linakuharibu tu ukiuliza eti uvumilivu hapana aisee
acha hizo,Hajanitafuta jamani mwambie namsubiri anitafute mmHivi mama alikutafuta
Na sie tutawekaTutapigia mstari jawabu
katika jawabu lakoAsipoelewa tumpeleke tu memkwaKaelewa vizuri sana

Tutazika tu, kuchimba kaburi sio kazi.Hahhahah watakufwa
Nina tende zako km kilo 10 hiv, siku ukipata nafasi uje kuchukua.Woooooozeeeer
HatujamboHamjambo wakuu
Apia!!Hahahahah hatutakufwa hata

Hizo zimenishinda shunie mmNina tende zako km kilo 10 hiv, siku ukipata nafasi uje kuchukua.
Duh!! Hilo lote lake!!?Mxieew

Asipoelewa tumpeleke tu memkwa![]()
Huko nyuma hakuwa hivi huyusiku hizi umeranduka hivi nani kakuharibu we mdada

Huko nyuma hakuwa hivi huyu![]()
![]()
![]()
Aahh!! Tanga hamna hizi eeh!?Hizo zimenishinda shunie mm
Zipo lakini sijawahi kula na wala sizitamani huwa nakutana nazo sana tuAahh!! Tanga hamna hizi eeh!?