ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,947
- 13,864
[emoji3][emoji3][emoji3]mimi huyuhuyu nimeharibika mweeEbu niambie nani kakuharibu
[emoji3][emoji3][emoji3]mimi huyuhuyu nimeharibika mweeEbu niambie nani kakuharibu
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji3][emoji3][emoji3]Yaan niliacha wazi pm karibia siku 4 kilichonichosha mpaka nikaifunga watu sijui wamejuaje kama pm ipo wazi mpaka machizi wa jf wananipm
Hizo emoj za kufunga jicho na kutoa ulimi jamani sizipendi mm
Habari za jioni wapendwa!!??
Sio watu wa jf ndugu[emoji3][emoji3]si ndo vizuri kufahamiana nawatu jaman
Hivi hujioni eenh[emoji3][emoji3][emoji3]mimi huyuhuyu nimeharibika mwee
Teh teh teh!!! Sitaki kuaminHaha ndio na limemfit kabisa
We muongo, mbona hujalamba mchanga!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakyanani
Mweyewe bibi ww, mie silali na deni la tusi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mxieeew
Heeeee wanatoka wapiSio watu wa jf ndugu
Nashukuru mie si mmoja wapoNiliifungua nimeshaifunga leo kila mda pm tu nimechoka kujibu watu
Safi kama kwa mzee safi, vipi damu yangu!?Mambo niaje Budah.
Heeeee wanatoka wapi
We sio mmojawapo jamaniNashukuru mie si mmoja wapo
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Yaan niliacha wazi pm karibia siku 4 kilichonichosha mpaka nikaifunga watu sijui wamejuaje kama pm ipo wazi mpaka machizi wa jf wananipm
Hizo emoj za kufunga jicho na kutoa ulimi jamani sizipendi mm
Sijion hata basi niombeage nirudi nilivyokuwa mwanzoHivi hujioni eenh
Hahahahaa ndo uamin tuuTeh teh teh!!! Sitaki kuamin
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wala sikuombei baki hivihiviSijion hata basi niombeage nirudi nilivyokuwa mwanzo
Niko nayo aisee ndio maana naipigia debe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana shem jamani nimeuliza tu
Mfungo huu, au we huoni shunie akee!!
Music sasa naona binamu bado katekwa