Makapuku Forum

My dear yaani mimi mpira wa Miguu na mimi mbali mbali sana yaani hata unipe na pesa siendi angalia kabisa...Napenda Basket ball ila tangu Kobe Bryant atundike daluga nimeanza poteza hamu kidogo..
...Steph Curry keshabeba mikoba ya Black Mamba mkuu. Jana tu kaweka rekodi mpya kwa kutundika point 17 kwenye muda wa ziada.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…