ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Hapana hajaniambia nani huyo alikuwa ananiuliziaHalafu tumosa alikwambia ulikuja kuuliziwa eti
Hapana hajaniambia nani huyo alikuwa ananiuliziaHalafu tumosa alikwambia ulikuja kuuliziwa eti
Shuuu....!!!![]()
![]()
![]()
![]()
alikuwa anaujumbe gani kwangu
AbeeeTumoooo
SawasawaTumosa pambana na huba lako
Eti anakuulizia mbabe wake tumebaki kucheka tu mm nikamwambia we si ulimkataa yupo ana mbebez mwingine sakayo akamwambia tena analea mtoto
Mzima miye shogare nipo kwetu uswahiliniAbee babe za ww umeamkaje jamani

Eti anakuulizia mbabe wake tumebaki kucheka tu mm nikamwambia we si ulimkataa yupo ana mbebez mwingine sakayo akamwambia tena analea mtoto

ama mlimpa hahahaa uwiii... Kwani ye mbebez wake yuko wapi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nilisahau kumuambia
Sawasawa
Mbebez wake mtu woiiiiii
Mzima miye shogare nipo kwetu uswahilini![]()
![]()
![]()