Makapuku Forum

Makapuku Forum

TUOMBE

Baba MUNGU Wa mbinguni katika jina la YESU KRISTO , tunazileta shukrani zetu kwako eee Baba tunasema ahsante kwa kutuamsha salama ,leo JUMAPILI tarehe 3 JUNI 2018, Mungu umetulinda usiku mzima na mwezi mzima wa TANO SIFA SHUKURANI HESHIMA UTUKUFU NI KWAKO MUNGU WETU.

Umetuponya na kutuokoa na kazi za adui yetu mkuu ibilisi zaidi ya yote BWANA YESU umetupatia ushindi juu ya maadui zetu.

Ahsante BWANA YESU , kwa Neema yako , kwa upendo wako , na rehema zako
MUNGU WETU UISHIE MAHALA PA JUU KABISA KATIKA JINA LA YESU tunaomba Mungu utusamehe dhambi na maovu yetu , utupe Neema ya kuwasamehe wale walio tukosea sisi pia ,
Tunaomba utuongoze katika njia zako eee Bwana , tusaidie tupate kuyatimiza mapenzi yako Mungu
Tutangulie maofsini na katika njia zetu BWANA YESU
Neno lako likawe ni mwanga na Nuru ya miguu yetu ,, tunaomba BWANA YESU ukafanyike Baraka kwetu , ibariki siku hii ya Leo BWANA ukaifanye tukutumikie

Bwana Yesu tunaomba utuponye katika kila jambo ,damu yako itufunike na kutulinda ,, ROHO MTAKATIFU TUFUNDISHE KATIKA KWELI YOTE NA HUO UKAMILIFU ,
Tumeomba yote na kuamini katika jina la YESU KRISTO Amen

NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA WOTE
 
Binamu yangu Obe ukuje magazeti tayari
Screenshot_20180603-104627.jpeg
Screenshot_20180603-104650.jpeg
Screenshot_20180603-104551.jpeg
Screenshot_20180603-104607.jpeg
Screenshot_20180603-104512.jpeg
Screenshot_20180603-104531.jpeg
Screenshot_20180603-104427.jpeg
Screenshot_20180603-104447.jpeg
Screenshot_20180603-104353.jpeg
Screenshot_20180603-104411.jpeg
Screenshot_20180603-104321.jpeg
Screenshot_20180603-104337.jpeg
 
TUOMBE

Baba MUNGU Wa mbinguni katika jina la YESU KRISTO , tunazileta shukrani zetu kwako eee Baba tunasema ahsante kwa kutuamsha salama ,leo JUMAPILI tarehe 3 JUNI 2018, Mungu umetulinda usiku mzima na mwezi mzima wa TANO SIFA SHUKURANI HESHIMA UTUKUFU NI KWAKO MUNGU WETU.

Umetuponya na kutuokoa na kazi za adui yetu mkuu ibilisi zaidi ya yote BWANA YESU umetupatia ushindi juu ya maadui zetu.

Ahsante BWANA YESU , kwa Neema yako , kwa upendo wako , na rehema zako
MUNGU WETU UISHIE MAHALA PA JUU KABISA KATIKA JINA LA YESU tunaomba Mungu utusamehe dhambi na maovu yetu , utupe Neema ya kuwasamehe wale walio tukosea sisi pia ,
Tunaomba utuongoze katika njia zako eee Bwana , tusaidie tupate kuyatimiza mapenzi yako Mungu
Tutangulie maofsini na katika njia zetu BWANA YESU
Neno lako likawe ni mwanga na Nuru ya miguu yetu ,, tunaomba BWANA YESU ukafanyike Baraka kwetu , ibariki siku hii ya Leo BWANA ukaifanye tukutumikie

Bwana Yesu tunaomba utuponye katika kila jambo ,damu yako itufunike na kutulinda ,, ROHO MTAKATIFU TUFUNDISHE KATIKA KWELI YOTE NA HUO UKAMILIFU ,
Tumeomba yote na kuamini katika jina la YESU KRISTO Amen

NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA WOTE
Ameni mke mweee uwe na jumapili njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom