Makapuku Forum

Makapuku Forum

Binamu sijakuelewa kabisa mie kwenye ngao kwahiyo ni nani ni nani
...marahaba aunt, sasa niko timamu kupokea salamu yoyote.

Ulikuwa na siku nzuri leo naamini. Maana si kwa tabasamu nililoliona mchana.

Kuhusu zile ngao, hazina tofauti, ukiiona ya kidonge ndo ya maji na ukiiona ya maji ndo ya kidonge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom