Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
Mkuu....du
Nahisi kapenzi kananikorokochoa kooni, usinishangae... huyo mtoto namuwaza usiku mchana
Mkuu....du
Sema naye kakaMkuu
Nahisi kapenzi kananikorokochoa kooni, usinishangae... huyo mtoto namuwaza usiku mchana
Bitoz gani?? Kama ni huyu founder wa Makapuku hana kashfa
Mi mwenyewe timu wasafi kwani shs ngapi?Wifi utanifunga mwenzio... Kaka atabaki na nani??
AsanteSema naye kaka
Hiyo supu yaHuyo ni churaaaa original anaandaa supu ya churaa![]()
![]()
![]()
sinywi

Napita tu,Mzigounamaanisha chura
..?
Asingeweza....Jimena ilinibidi nimdanganye yule mlaku kuwa lizzie ni dume ili akate tamaa, sasa si kakimbia!
Amka sasaDu hii brain ya usiku nayo ni sheeederr
Kazi ipoGiggy mgawa supu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.........,........
InavyoonekanaUnapenda sana![]()
![]()
Makapuku wote kaka zangu...... Mi nampenda mtu mmoja tu basi yani huyo tu..... Nikimuona roho kwatuuuuWe una kina kaka wangapiutakosa Gadner wako mwishoe
Sasa si umwambie?? Mbona unalia lia?Asante
Naamini Mola nae atanisaidia, kwani anaona ni jinsi gani nilivyo na mapenzi ya kweli kwa huyu bi dada!
Kabisa kabisa. Karibu tuangalie mechiKabisa..... Mi ntakuwa shahidi kuwa hukukusudia kutenda kosa
NimekuPMSasa si umwambie?? Mbona unalia lia?
Poa najaNimekuPM
....,....
Ya nani?Kabisa kabisa. Karibu tuangalie mechi