Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
MsalimieHajambo kabisa
MsalimieHajambo kabisa
Okay!Msalimie
Dah Linamo nataka na mimi nikuzoee, nimechoka kuwaita shemeji wenzanguMsalimie
Unizoeee kivipi labda?Dah Linamo nataka na mimi nikuzoee, nimechoka kuwaita shemeji wenzangu
Nikuzoee tu we niruhusuUnizoeee kivipi labda?
Ndio natuma myWii still uko busy?
Inazngua kwa simu heb nijaribu kwa pcWii still uko busy?
Amenikana mbele yako nami nimeacha rasmi shemHaaaaaa..
Shem me kulindwa sitakiii
Ntaumiza mtu![]()
![]()
Kabisa..... Mi ntakuwa shahidi kuwa hukukusudia kutenda kosaHivi vitahusika aisee![]()
![]()
![]()
![]()
LizzieOkay!
Njema habari yako?
Hao nao ni majipuSerikali imetangaza msako mkali kwa Vijana wanaojiita sukari ya warembo wakituhumiwa kuficha sukari
Habari za Mchana
Anamtakia nn? Yupo humuLizzie
Kuna mtu ananiuliza kuhusu wifi yako Linamo
Kuna kitu kisheria kinaitwa PROVOCATION......unamfumania mtu akiwa na demu wako wanakojozana halafu anaanzisha mbwembwe....ukiua huna kosaKabisa..... Mi ntakuwa shahidi kuwa hukukusudia kutenda kosa
Yupo humu humu ndioAnamtakia nn? Yupo humu
Hahaha huyo huyoMmmh Bitoz huyu huyu?