Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Mizigo ya watu???Mizigo mingine inawekwa kwenye buti
Mizigo ya watu???Mizigo mingine inawekwa kwenye buti
haha.. mkuu wacha tuone kama mtoto atakujaTh name unaona!![]()
Afadhali umekujaDada nimeona aisee. Nalinda mke wangu naona kuna MTU simuelewi
Tayari Achana nae huyo
Tuone kama una kissu kikali kumzidi th name!haha.. mkuu wacha tuone kama mtoto atakuja
hahaa... mkuu lizziebettie ni mwanamke mmoja mrembo sana kwa assumption zangu. hawezi kuwa me kamwe lol..Tuone kama una kissu kikali kumzidi th name!
Hivi wajua lizzie ni DUME?
Cc jimena
Lizzie
Th name
Mkuu utamaliza muda bure, muulize jimena, hili ni dume limeweka avatar ya kike...subiri utakula za kichwa baadaehahaa... mkuu lizziebettie ni mwanamke mmoja mrembo sana kwa assumption zangu. hawezi kuwa me kamwe lol..
leo Th name lazima aachie ngazi...
mkuu usiniaminishe kuwa me kampenda me. yani Th name anampenda me mwenzie. hell no..Mkuu utaliza muda bure, muulize jimena, hili ni dume limeweka avatar ya kike...subiri utakula za kichwa baadae
Hivi vitahusika aiseeTh name unaona!![]()
Afadhali umekuja
Ongea kijanalizziebettie
Naamini kabisa hautokuwa tayari kuona mgeni wako anaondoka na kiu...
tafadhali nisikilize...
no matter how wrong i might be... i deserve a chance to talk to you
Tuone kama una kissu kikali kumzidi th name!
Hivi wajua lizzie ni DUME?
Cc jimena
Lizzie
Th name
asante shem jambiloEndelea kujidanganyahahaa... mkuu lizziebettie ni mwanamke mmoja mrembo sana kwa assumption zangu. hawezi kuwa me kamwe lol..
leo Th name lazima aachie ngazi...
HahaaaaaSerikali imetangaza msako mkali kwa Vijana wanaojiita sukari ya warembo wakituhumiwa kuficha sukari
Habari za Mchana

Nimefurahi kusikia upo poa Shemeji yangu..Barikiwa na Bwana..Niko powaa shem wangu
Tunashukuru Mungu tuna push kimtindo tu dada angu...Kwema kaka, habari ya kuwajibika?
Amen shemNimefurahi kusikia upo poa Shemeji yangu..Barikiwa na Bwana..
Nshamkimbiza kimtindoHivi vitahusika aisee![]()
![]()
![]()
![]()
KatimkaEndelea kujidanganya