Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Yaani na alivyo na bahati mbaya huo umaarufu anao utafuta unaishia insta.Huyu mdada anatafuta umaarufu kwa kasi sanaaaa
Kweli nipeni maombi mengi niwagawie wahitajiThanx bby
Mtumishi anahitaji maombi
Kweli kabisa my dear...Na najua anakujali na kukuheshimu kama shemeji yake ila wivu usimzidi kuliko mme wako...

Haina mbaya shemKweli nipeni maombi mengi niwagawie wahitaji
Cc
Amaizing
Manuu
Unashangaa nini shem?!?
Haaaaaa..![]()
![]()
![]()
yeye kaniweka nikulinde

Tuko powaaa!Wazima wote
Sie wazima my wiiWazima wote
Mkuu jukumu la kumjali na kumlinda ni jukumu langu la msingi kabisa...ila si mbaya wewe kama Shemeji kuhakikisha shemeji yako akipita mtaani anakuwa salama tu..Duh ya gadna hayakushtushi unazidi kumpenda tuu
Samahani mkuu manuu namjali ndo mana nampa tahadhari
Aaaaah nakujali wewe unavyosema unampenda zaidi hatuchelewi kuwaumiza

Th name hajambo?Tuko powaaa!
Wii still uko busy?Sie wazima my wii
HaswaaMkuu jukumu la kumjali na kumlinda ni jukumu langu la msingi kabisa...ila si mbaya wewe kama Shemeji kuhakikisha shemeji yako akipita mtaani anakuwa salama tu..
Hajambo kabisaTh name hajambo?