Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwahiyo binamu siku zote huwa naandika pumba

..usinilishe maneno, sijasema hivyo. Sema hiki nilichosoma leo tangu mfungo uanze kimenibamba ndo maana nikakupa offer ya kinywaji.

Halafu, hata kama ningesema huwa unaandika pumba (kitu ambacho huwa huandiki) hakuna ubaya maana kwenye pumba tunazipepeta tunapata mchele wa vitumbua. Na ninavyopenda kitumbua sasa 😉
 
Naomba hiyo hela binamu ya kuagiza Heineken zangu nijinywee mie

kitumbua gani hcho binamu unachopenda
 
Naomba hiyo hela binamu ya kuagiza Heineken zangu nijinywee mie

...oh, yaani mmmh, hebu niulize. Sijasema natoa hela, nimesema ninakupa offer ya kujinunulia kinywaji. Yaani maana yake, kwa kuwa unakunywa wewe asi hakuna ubaya kujinunulia kwa hela yako.

Nilitegemea uniambie " asante Obe, nimejinunulia kinywaji nachopenda" hapa hata maswali yangepungua, ningekupongeza tena
 
Sasa ndio offer hiyo binamu upoje wewe jamani mbona mbahili hivi

...sio ubahili sema huu mwezi natoaga offer za watu wangu wa karibu kujinunulia wanavyopenda kwa hela zao. Sasa wewe ni mtu wangu wa karibu hii offer haikupiti mbali usijesema nina uchoyo wa ofa
 
...unadhani najua basi! Sijui labda uniambie wewe, maana kuna vile vingine wanawekaga ndimu ya kichina ndimu ya unga kinakuwa fureshi kila siku
Mh kitumbua gani hiko binamu
 
...sio ubahili sema huu mwezi natoaga offer za watu wangu wa karibu kujinunulia wanavyopenda kwa hela zao. Sasa wewe ni mtu wangu wa karibu hii offer haikupiti mbali usijesema nina uchoyo wa ofa
Offer bila kununuliwa ndio ninii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom