Makapuku Forum

Asante mkuu. Mungu Aendelee kukubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ukibigwa ban ya siku una kaa wiki nzima bila kuingia humu
hahaa..na ABJ wangu nitamkuta kesha binafsishwa ...Hawa mashangingi wahumu " hawakawii kumtia vishawishi aisee...."" utasikia achana nae yule " mtu mwenyewe ana tumia free data...pale alipo kabakiwa na suruali mbili tu...nikaja kurudi na kuta mtoto keshaelewa somo ....hahaaa"" mie ananifungia vioo tu ...kama kwakwea fastjet
 
Mbavu zangu mie kuna msemo wa wahenga asiyekuwepo na lake halipo
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] yaani kibaya zaidi tuko Tanzania ya kiswahili wanaandika maelezo kwa kingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…