Makapuku Forum

Makapuku Forum

...kumbe wewe hunipendi kabisa yaani ndo najua leo, si ungeniambia mapema, me sio tu ningemfunglulia siredi, ningemwanzishia forum kabisa. jengea yeye webuside, nunulia simu ya Singsung yenye kamera na blututhi
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
He he niache mama hakuna wa kunifundisha mimi nimeishi na baba angu mlezi alikuwa mnyaki si unawajua wanyaki wakija kina aunty ni kinyaki tu lazima utagusa gusa hata kimoja
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom