ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,947
- 13,864
Me nipo gud![emoji6]thank yuuHellow mate?
[emoji3][emoji3][emoji3]happy to see you.
Me nipo gud![emoji6]thank yuuHellow mate?
[emoji3][emoji3][emoji3]happy to see you.
Umeamka salama Shede?!Hellow family
Me nipo gud![emoji6]thank yuu
Hahah sana anko..asantee na kwako piaHoping ulikuwa na usiku mzuri. Siku njema kwako
Ugonile mamaHahah sana anko..asantee na kwako pia
Shikamoo binamuUmeamka salama Shede?!
Muulize lini nilimwambia hivyohahaa"" alikwambia hivyo kweli ''"?
Khaaaaa lini jamani nilisema hivyoSiwezi. Yule alishanmbiaga Mimi mtoto! Kwamba Yeye ni Bi mkubwa
Hahahahahaha ni wewe!?ugonile twa nulubhunjuUgonile mama
Shikamoo binamu
He he niache mama hakuna wa kunifundisha mimi nimeishi na baba angu mlezi alikuwa mnyaki si unawajua wanyaki wakija kina aunty ni kinyaki tu lazima utagusa gusa hata kimojaHahah nani kakufundisha lakini, maana umekinyoosha..agonile mama ndaga
Zimefika binamu ataitika na wewe msalimie mama angu BH na husna mubaMarhaba aunt, msalimie Davet
[emoji16][emoji16][emoji16]ooo basi vizuri asa kumbe umeishi na wanyaki afu unatukatazaga kuandika kinyaki humu ugwee!!He he niache mama hakuna wa kunifundisha mimi nimeishi na baba angu mlezi alikuwa mnyaki si unawajua wanyaki wakija kuna aunty ni kinyaki tu lazima utagusa gusa hata kimoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najuaga salaam tu vingine sijui[emoji16][emoji16][emoji16]ooo basi vizuri asa kumbe umeishi na wanyaki afu unatukatazaga kuandika kinyaki humu ugwee!!