Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Ndiooo[emoji176][emoji176] Mama wabese please..!
Hivi unataka nitoke chozi la damu..?
Ndiooo[emoji176][emoji176] Mama wabese please..!
Hivi unataka nitoke chozi la damu..?
Shangaaa
Ni hapa hapa binamu ukitoka nje ya makapuku tu unataka kumwandikia nani jamani..chit chat ndo wapi? Unaingiaje huko na mimi nikamwandike mtu
Kwahiyo yaan sielewi elewiShangaaa
Ni hapa hapa binamu ukitoka nje ya makapuku tu unataka kumwandikia nani jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mm sio pkpk posts samahani mkuu
hamna mamaa...wengine tuko loyal mnoo "" tunayathamini machozi ya mwanamke " hatupendi kuona mwanamke anakosewa heshima na kudhlilishwa utu wake " mwanamke ndiye mama wa huu ulimwengu " mwanamke ni kama ardhi jinsi ilivyo na umuhimu "" so " karibu" sugarHahahaha mhh ila nyote mpogo hivo hivo
Ndo kanisani binamu..chit chat ndo wapi? Unaingiaje huko na mimi nikamwandike mtu
Aaaah eti jana ugali ulimwagwa so anataka amwage mboga,umwambie dada ako aje achukue mzigo wake huo kwa kweliKwahiyo yaan sielewi elewi
Mama Mchuchu[emoji39] [emoji39] [emoji39]...oh, sawa sawa, nimekupata sawa sawia. Nitamuandika yule yule unayemjua na anayejulikana na kila mtu maana sina mwingine
Nani hana jina...oh, sawa sawa, nimekupata sawa sawia. Nitamuandika yule yule unayemjua na anayejulikana na kila mtu maana sina mwingine
Tena mshindwe mfyuuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sisi hatumtaki nyie chukuaneni tu dada angu yuko na amani ya moyo na mbebez wakeAaaah eti jana ugali ulimwagwa so anataka amwage mboga,umwambie dada ako aje achukue mzigo wake huo kwa kweli
Woooooooozeeeeeerhuhuu ..agiza."..shwauma..naja kulipa..
Mama Mchuchu[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Na mm nishindwe jamaniTena mshindwe mfyuuuuuu