Heshima yako mkuu Transcend...Swadakta mkuu..
Vijana wangu sijawaona kitambo.
Ooooh! Naaje Da vinci..Heshima yako mkuu Transcend...
Haaahaaaaaa Braav unanichekesha sana. I reserve ma CommentTumosaa mama Tumosa x 2
Umeteka moyo wa T x 2
Naomba unipe nafasi x 2
Niwe wako wa ubani x 2
Nitalinda penzi letu milele x 2
Tumooooooosa
Huo wimbo wa Tumooo...Haaahaaaaaa Braav unanichekesha sana. I reserve ma Comment
Unapotea sana mkuu. I miss those time kwakwel...Ooooh! Naaje Da vinci..
Longtime no see you mkuu.
Hahaaaaa sasa bro mm nilikua nishaanza ku follow kwa Tumomo naona nawe unafukuzia au ndo ule msemo.. ONLY THE STRONGHuo wimbo wa Tumooo...
Sasa umkute anauimba kwa kinyakyusa...
Tununu! Tununu!
Majukumu tuu mkuu.Unapotea sana mkuu. I miss those time kwakwel...
Hahahaa...wewe fuatilia tuu unaweza akakuelewa kwa haraka labda...Hahaaaaa sasa bro mm nilikua nishaanza ku follow kwa Tumomo naona nawe unafukuzia au ndo ule msemo.. ONLY THE STRONG
Acha kikwende jamani
Nimefanyaje mieKhaaaah! Wewe mama wewe!
Natumai mambo yalienda vizurihaha Haa.loohh..hapana tubaki Humu " Humu " kwa makapuku wenzetu...huko kwengine nikikupeleka "" watanipora aiseee"" Nina mpango wakuhamishia makazi yangu katika huu Uzi rasmi" kwaajili yko""" huko pengine sinto kwenda tena """
MhJamani tumosa anataka nikufe kifuani mwake
Huyo ndio mwanaume anayekufaa SHAMMA ako na mabebez wengi sana humu jf utaitwa nyakunyakutaratibu baba
Babu huu mtamu wa hiiMbona unakimbia.... Mtamu maana yake mgonjwa
Nini shunie..?
Binamu shikamooTafasiri Unavyoweza: Ondoa Mashaka Uongoze
Unategemea kupata nini toka kwa wale unaowaongoza kama wewe si mwaminifu, historia yako imejaa makandokando na hajawahi na hujaonesha kutaka kubadilika? Kama unakosa kuwa mkweli (honesty) na mwenye kuaminika (moral uprightness-integrity) unategemea mafanikio gani katika kile unachokiongoza. Unapokuwa kiongozi na huwaamini unaofanya kazi nao unategemea mafanikio yatafikiwa kwa namna gani? Vitisho! Kiongozi mzuri hapayukipayuki, huongoza kwa mfano, anawaamini anofanya nao kazi, kwa sababu kagawa majukumu (delegating and empowering) na hatengenezi matukio ili aonekane kila wakati. Tafasiri unavyoweza.
Kutaka kusimamia kila kitu hakujawahi kumfanya kiongozi kuwa maarufu, kunampunguzia sifa ya kuwa kiongozi mzuri na kumjaza sifa ya udikiteta, kutaka kuonekana kila sehemu, atajwetajwe kila kukicha. Ni sifa sahihi ya kiongozi kujiamini katika analofanya kwa sababu analofanya ni la ukweli na linakubalika kwa jamii. Kiongozi bora hashindi kusisitiza kuombewa, wanaombewa wenye dhambi, wezi, majangili, mafisadi na watu wa namna hiyo, wenye mapungufu, waoneaji, waporaji na taja kingine unachopenda kiombewe.
Kiongozi kujiamini kwa kusimamia sheria, kutenda haki, kuwa na huruma, kutoonea, kuheshimu walio chini na unaowaongoza kunakupa nguvu ya kupata mafanikio zaidi. Hakuna timu ya mtu mmoja, tafasiri unavyoweza
Shamma hakufaiNakuchekecha wewe na shamma atakaye ni konga moyo wangu haswa baasi atakuwawangu
Hahahaha mhh ila nyote mpogo hivo hivohahaaa...shamma fisadi wa mahaba yule "" mamaa..atakuyenda bure " uanze kunipa kazi ya kukuliwaza mie
WoooooooozeeeeeerMuziki: Changa Karata
Mchezo wa karata ni akili, kila kitu unacho wewe na unakiangalia mwenzako hakioni, usijidai kumuonesha mpinzani wako, utashindwa au utakuwa na wakati mgumu kutoboa, Najua unajua namaanisha nini na ndiyo maana sichoki kukusalimia Kapuku mwenzangu na kukushukuru kwa kuwa hapa maana bila wewe jukwaa hili si sehemu nzuri kuwepo.
Asante Tumosa mama JJ, sweetlee kwa kuweka nukuu nzuri za kuvutia (ukiweza weka kila siku). ABJ ni nzuri kukuona hapa kila wakati, Transcend karibu bruh, hearly na wewwe kapuku unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri
Muziki sasa, furahia sasa
AiseeeHii couple itaitwa T square..