Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Kutega wamekuwa wavuvi wa samaki hahahahaKuvua na kutega
Kutega wamekuwa wavuvi wa samaki hahahahaKuvua na kutega
Kwema braza, umeadimika kidogo... kulikoni?Kwema jamani?
kazi za uck ngumu mchana tunalalaKwema braza, umeadimika kidogo... kulikoni?
Na kwako pia kiongoziUsiku mwema Makapuku
Mapema sanaaaUsiku mwema all
Ndo tunaingia lindo wengineUsiku mwema all
UpoooooSikusepa, ila niliporudi nikakuta umeshaaga
Wengine huwa wanalala kidogo hukohuko kazini mana usiku ni usiku tu, ni ngumu kuugeuza usiku kuwa mchanakazi za uck ngumu mchana tunalala
Utakua umekurupuka toka usingiziniNipo tu, msiseme nimelala
Shem naona uko zam!Naww pia.
Bado sijalalaUtakua umekurupuka toka usingizini
Nami nasubiri jibuHivi wana kazi gani sasa??
Nami nasubiriKabisa sijui wewe?
Kuvua na kutega nini mkuu uwe wazi kama yule aliyesema alikua na kazi ya kumkojoza tuKuvua na kutega
Rejea post #31419Nami nasubiri
Pole sana,Mkuu musolin sijasahau ulinipoka comment yangu ya 31000