eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Aisee [emoji3] [emoji3]Kataa mkuu hcho ni kibibi gagula[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee [emoji3] [emoji3]Kataa mkuu hcho ni kibibi gagula[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo umemsaliti au yeye kasalitiTumebaki mazoea tu niko na mume mwingine jamani sijui katekwa kwenye maandamano
Maandamano yale ya mkwajuni au yapi hayoAlienda kwenye maandamano mpaka leo hajarudi
Woooooyooo[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji7] For no reason[emoji173]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Imi ni mtamu mjukuu wangu!!
Tumosa my dear, u haki gani leo?Woooooyooo
C aliteuliwa shemela labda anamuwakilisha alomteuaSasa ni mbunge wa wapi na atakuwa anamuwakilisha nani!?[emoji23] [emoji23]
ObeAunt yangu, wimbo huu mbona niliuweka jana Ijumaa? Hukuwepo nadhani.
Nitauweka tena wiki ijayo maana wikend siku hizi tangu mwaka uanze huwa siweki muziki, nasave bundle niangalie mpira
AmenPsalm 107:1
"Give thanks to the Lord for He is good: His love endures forever."
Tupo hapaHeko kwa Wamama wote (Happy Mother's Day)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maandamano yale ya mkwajuni au yapi hayo
Ya dada wa taifa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maandamano yale ya mkwajuni au yapi hayo
Nko poa naona mambo c mabaya kwa mdogo wnguTumosa my dear, u haki gani leo?
Bongo bwana, usungura usungura tu!![emoji23] [emoji23]C aliteuliwa shemela labda anamuwakilisha alomteua
Hongereni sana, nawapenda mnoo..Tupo hapa
Me simo[emoji125] [emoji125] [emoji125]Bongo bwana, usungura usungura tu!![emoji23] [emoji23]
We love u tooHongereni sana, nawapenda mnoo..
Na kwako pia TumosaMuwe na mchana mwema wapendwa
Manga mambo vp,umeadimika hebu niambie chimbo lako liko wapNa kwako pia Tumosa