Muziki: Nitumie Nisome
...nimekumbuka tu kitu miaka hiyo wakati ndo mitandao inashamiri mijini. Ilikuwa mwendo wa kupeana website ili mmoja atembelee kjwa sababu mwingine keshatembelea na kaona uzuri wa ule mtandao sasa anaaamua kukutumia nawe utembelee. Lilikuwa ni jambo zuri na limenikumbusha kukusalimia wewe Kapuku mwenzangu na kukupa hongera kwa mchana uliokuwa nao. Mimi sijambo asante kwa kutouliza.
Muziki sasa, leo ni 2 in 1 ambapo aunt yangu
Shunie kaomba muziki na bahati nzuri wimbo wenyewe unapendwa pia na
Tumosa mama JJ. Tuburudike na endeleeni kupokea salamu nyingi sana toka kwa BH, yule mwanamke ninayempendaga upeo.