Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,020
Eti kafunga mdomo[emoji108] [emoji108] [emoji108] aseme hapahapa
Eti kafunga mdomo[emoji108] [emoji108] [emoji108] aseme hapahapa
Sa ngapiiiiijaman sinimewatambulisha
Hakunaga mchumba kama wewe jamani mwingine wa nn mimi nikagundue nini kingine kila kitu napataKwanini uwaelewi jamani au Shunie ana mwingine unae mfahamu?
Utambulisho ni muhimu mke mweeeKhaaaaa hivi umeulizwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeh! soon nawaaga humu mtanitia uchiziUwe makini lakini hii ina ushemeji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakuona shemela wetu kipenzi hivi mlikutana wapi na moneytalk mpaka mkapendana au mambo ya usiku wa manane kwenye ule uziNipo hapa nimejaa tele
Uciondoke shemela huyo mchumba wako pekeakoAisee mood yangu yote imepotea na muda sio mrefu nawaaga
Nilitaka kushangaa sasa jamaniHakunaga mchumba kama wewe jamani mwingine wa nn mimi nikagundue nini kingine kila kitu napata
Nakuombea bebe Mwifwa hawezi potea ndio kafika hapo kwakoniombee tu mwenzangu asije akapotea
Uuhuuuuh! Afadhar presha imeshuka sasaUciondoke shemela huyo mchumba wako pekeako
Mfyuuuuuu niharibie nikuje kwako unimalizie hamu zangu we sababu uko na mbebez niharibie mama tugawane mwifwa[emoji40] [emoji40] [emoji40] mdomo mdomo kom
Kwani we umenitambulisha wapi jamani mchumba angu mwenyewe mwifwa hajamtambulisha kwakoembu na wewe nitambulishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdogo wangu hongera sana aisee [emoji23][emoji23]
Akiii hizi mambo za kuambiana kitu mtu unajipanga kupiga kizinga cha maana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Jamani kwahiyo chumbani mko mnaenda kufanya ninihii hali ya hewa ndo imenifanya nimuite chumbani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani hii screenshot naiweka wallpaper kabisa mana sio kwa mahaba hayo ya Mwifwa
Bebe achana na mambo za walimwengu na maneno yao hivi password si unayo ya jf hakunaga kama wewe unalijua hilo au unataka nikufwe eenhAisee mood yangu yote imepotea na muda sio mrefu nawaaga
Babe tusubiri kidogo kelele ipungue kibarazanihii hali ya hewa ndo imenifanya nimuite chumbani
WoyooooooooooooBabe nipoteeje ilihali ushaninyang'anya moyo wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeweka silence tu hapa