Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
WoooooozeeeeerChochea kabisa hadi kuni ziishe
WoooooozeeeeerChochea kabisa hadi kuni ziishe
SawaHamna alikuwa anasema ye jf hana mbebez jamani kila mtu ako na bebe wake kasoro yeye ndio namwambia lile gundu limeisha mpendane tu jamani hakuna namna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ni moto asiye na babe akumbatie mto
Mdogo wangu hongera sana aisee [emoji23][emoji23]Nipo hapa nimejaa tele
Mh mnaenda wapi nyie watu na hii hali ya hewaSawa Babe twende zetu
WoyoooooooooooNdio maana nakupenda sana[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mh Mwifwa zima simu
Niseme ili mje mnikalie kikao cha familia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah!! Hapana bhn mimi ata sitasema kitu labda wewe tu uamue kusema mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie mwache mwenzio akule maraha ya maisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namsubiria shululu akuje ajibukumbe niafande
hii hali ya hewa ndo imenifanya nimuite chumbaniMh mnaenda wapi nyie watu na hii hali ya hewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kheee yamekuwa hayo tena
Khaaaaa hivi umeulizwaHiyo mwenzio naye kachumbia humu
Wooooooooozeeeermimi zaidi mwifwa wangu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Shemela wetu Mwifwa
Yaani hii screenshot naiweka wallpaper kabisa mana sio kwa mahaba hayo ya Mwifwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa kwanguniwanani sasa
Karibu sanaNafurahi kujumuika nanyi leo humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee na ujasiri umekuanao sasa? Kweli moneytalk kiboko
Aisee mood yangu yote imepotea na muda sio mrefu nawaaga[emoji40] [emoji40] [emoji40] mdomo mdomo kom
Babe nipoteeje ilihali ushaninyang'anya moyo wanguniombee tu mwenzangu asije akapotea