Makapuku Forum

Makapuku Forum


Mdudu tishio kwa usalama wa chakula nchini kutoka bara la america ameanza kuwatesa wakulima Tanzania angalia makala hiyo. Anakula mazao zaidi ya 80, anatembea kilometa 100 kwa usiku mmoja na anataga mayai 300 na kutotolesha ndani ya siku tatu. Itazame uwaelimishe wakulima na ndugu zetu vijijini.
 
Waambie babe
bora umekuja kipenzi changu
Nimekuona kwa mbali nilikuwa nakatisha mitaa nikaamua nikufuate kipenzi changu
ahsante kwakunijali mwifwa wangu,nakupenda kuliko hata neno lenyewe kupenda
Jins moyo wangu ulivyochomoka na kuingia kwenye moyo wako hadi nashindwa kuelezea
najua babe,tuzidi kupendana
Upendo wetu hamna anayeweza kuutenganisha isipokuwa Muumba pekee
Khaaa kumbe kweli hatimaye Mwifwa lile gundu limekuisha ole wako umuache moneytalk ndugu zake tupo hatutaki kuona unamuumiza kwa namna yeyote ile mpendane hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom