Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Hamna banaNani aliye r.i.p?
Hamna banaNani aliye r.i.p?
Siwezi potezea lazima kuna mtu ataangalia ataniambia tuBadi potezea tu kama mimi nilivyopotezea
SawaHamna bana
Basi kuwa na subira, wakichoshwa na kulainisha vyuma watakuja kudadavuaSiwezi potezea lazima kuna mtu ataangalia ataniambia tu
Hivi mbona unachapia chapia hivi jamaniBadi kuwa na subira, wakichoshwa na kulainisha vyuma watakuja kudadavua
labda kwasababu ana koleza mwandiko [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mbona unachapia chapia hivi jamani
Nipo mezani hapa napmbana na lunch nashindwa kutype vizuriHivi mbona unachapia chapia hivi jamani
aisee!Walimwengu huwa siwaamini hawakawii kupeperusha njiwa wangu..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nitaleta mrejesho nikimalizaSijui utaimaliza lini jamani
[emoji10][emoji10][emoji10][emoji10]Asantee omarion5
Asantee mamieNa kwako pia mpenzi
Bibie hataki kututambulisha dawa ni kujulikana kwa lazima[emoji23] [emoji23]Na mm pia nahitaji utambulisho
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] r.i.p tetra
Shemela huyoooUpepo mwanana kabisa
Tumuombe Obe atatusimuliaSiwezi potezea lazima kuna mtu ataangalia ataniambia tu
Babe wanguWalimwengu huwa siwaamini hawakawii kupeperusha njiwa wangu..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Babe nipo hapa nimejichokea sina hali kabisaBabe wangu
hahaaa umechelewaWoyoooooo niko hapa nagonjeka kusubiri na mm utambulisho
embu nidokeze basi nigundu gani tenaKhaaa kumbe kweli hatimaye Mwifwa lile gundu limekuisha ole wako umuache moneytalk ndugu zake tupo hatutaki kuona unamuumiza kwa namna yeyote ile mpendane hivyo hivyo