Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524]TUOMBE

Baba katika Jina la Yesu Kristo Asante kwa siku mpya ya leo Jumapili tarehe 29 Aprili 2018 ambayo umetuchagua tena tuweze kuuona Utukufu wako.

Watu wengi walitamani nafasi hii hawajaweza kuiona siku ya leo.

Karibu Roho Mtakatifu shusha Mapaji tuwe Imara .

BABA Tunakuomba Utusamehe makosa yetu yote ambayo tumetenda kwa mawazo kwa maneno kwa matendo na kutotimiza wajibu wetu mbalimbali.
Uturehemu twakusihi.

Tunaomba utusaidie kuwasamehe wale wote waliotukosea Mfalme wa Amani walioomba msamaha na wale ambao hawajaomba msamaha tuwasamehe na kuyasahau yote waliyotutendea

Wabariki wote katika Ndoa zetu na nyua zetu familia zetu Waume Wake Watoto Wasaidizi wa ndani Ndugu Jamaa Marafiki Wachumba wakutafute wewe kwa bidii.

Bariki Watumishi wote wa Mungu watakaosimama madhabahuni popote ulimwenguni uwaandae Baba wakalishe Waumini kinachokupendeza na ukaonekane kwa watu wote katika ibada za Leo

Bariki viongozi wa Serikali wakutafute kwa Bidii Nchi iwe na Amani wakatende haki na kuwa na hofu yako Baba.

Baba Ponya Wagonjwa na ponya dawa wanazotumia zipate kuponya kila jeraha na Ugonjwa na wote wanaouguza waweze kutoa huduma kwa Upendo na wasipungukiwe chochote.

Asante kwa uponyaji wa wagonjwa wote tunaomba Baba uponyaji wa mwili na Roho uwe wa kudumu.

Tunawaombea wajawazito wote na wanaojifungua Baba tunaomba ulinzi wako uwazingire wajifungue salama pia watoto watakaozaliwa wawe salama maana Baba kazi hii ya uumbaji umeianzisha wewe kwao tunaomba iwe ya kukupendeza .

Baba Bariki wasafiri na vyombo Majini Nchi Kavu na Angani ukawe Dereva mwema Damu ya Yesu itufunike tuendako na tunakotoka siku ya leo zuia hatari na ajali zote Mfalme wa Amani.

Baba wafariji Wafiwa Wajane Wagane Yatima Wafungwa Mahabusu Wenye huzuni na wahitaji wote Walioachwa Waliotelekezwa wasio na chakula Waliodhulumiwa wakuangalie na kukutegemea wewe tu.

Baba tunaomba Ubariki Sadaka zetu na matoleo mbalimbali tutakayokutolea na kabla hatujakutolea siku ya leo Basi Baba Tupatane Tuwapende Tuwaombee Tuwaheshimu watu wote Amani itawale.

Epusha Wivu Visasi Masengenyo Chuki Dharau Kiburi Kujisahau na Majivuno ili Sadaka zetu Zikakubalike mbele yako ziwe za Kukupendeza Mfalme wa Amani

Bariki kila kazi za mikono yetu ziwe Halali na za kukupendeza daima.

Baba Asante kwa Sababu Unatupenda na utajibu sawasawa na mapenzi yako Amen

Tunaomba yote katika jina la Yesu Kristo Mpatanishi na Mwokozi wetu Amen
JUMAPILI NA IBADA NJEMA YENYE BARAKA

DAMU TAKATIFU YA YESU ITUFUNIKE[emoji259][emoji259][emoji259]
 
Amen
Be blessed love
 
Ameni mke mweee[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ubarikiwe pia
 
Back
Top Bottom