Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Shemela shikamoo hata kama cjatambulishwaWaambie babe
Shemela shikamoo hata kama cjatambulishwaWaambie babe
Woooyoobora umekuja kipenzi changu
Marahaba.Shemela shikamoo hata kama cjatambulishwa
Naona upo mbebe wako jamani hebu nitambulishe bac shemela anifahamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]najua babe,tuzidi kupendana
Hahahaaaa mambo ya kuonyeshana yalipitwa na wakati shemela vzr mmeonana wenyeweMarahaba.
Kwa nini hukunionesha mapema ilihali ni shoga yako?
Sasa hivi anaandaa Dinner akimaliza atakuja kuweka mambo waziNaona upo mbebe wako jamani hebu nitambulishe bac shemela anifahamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa shemela msalimieSasa hivi anaandaa Dinner akimaliza atakuja kuweka mambo wazi
Ni kawaida sana kuoneshwa njia ukingia mjini kwa mara ya kwanza, baadae ukizoea inakuwa rahisi kuzurura mwenyeweHahahaaaa mambo ya kuonyeshana yalipitwa na wakati shemela vzr mmeonana wenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kawaida sana kuoneshwa njia ukingia mjini kwa mara ya kwanza, baadae ukizoea inakuwa rahisi kuzurura mwenyewe
Usijali salamu zimefika shemuSawa shemela msalimie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Usijali salamu zimefika shemu
Siku nyingi sana labda wewe ushasahau kutokana na na mimi kuwa mtoro humu kijiweniLol kumbe unamjua eeeh
Zmefika shemeji yngu
Hahahaaa sawa shemelaSiku nyingi sana labda wewe ushasahau kutokana na na mimi kuwa mtoro humu kijiweni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa sawa shemela
[emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tumosa, mambo?[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Karibu sana hapa ndo nyumbani kwetu
mwifa, mambo vipi?Siku nyingi sana labda wewe ushasahau kutokana na na mimi kuwa mtoro humu kijiweni