Muziki: Machi ya Kumatchisha
Umeamka na umekuwa na siku nzuri na sasa ni usiku. Hili halina ubishi na hata kama nimeanza kuandika bila kukupa Hi haimaanisha sitambui uwepo wako wewe kapuku unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. najua tunatembelea maeneo tofauti lakini mwisho wa siku wote tunakutana hapa na kugonga tano na kusmile, ndo zetu sisi watu wa kujitambua.
Muziki sasa, kesho ni Jumatano kama ulikuwa hujui nakukumbusha tu na wala usijipe kazi ya kuniambia asante kisa tu nimekukkumbusha kuhusu siku yako ya kesho.