Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ya kwanza nilicomment thread za maandamano wakanipa ya siku moja wakaniambia mods hawapendi kusikia habari za maandamano ya pili kuna thread iliwekwa siasani kuhusu jamii forum ya sasa sio kama ya zamani hakuna uhuru wa kuongea nikacomment jf ya sasa inabidi tukae kimya eenh nikapewa ban ya siku mbili eti nazuia watu kutoa michango yao nazuiaje mm
Wwshenz tu hawa, kama hawatak tuwe huru wafunge mdubwasha wao, tutafungua zetu[emoji34] [emoji34]
 
Hakuna hata pm inayoingia namchuniaje sasa hawataki nifike jukwaa la siasa nikicomment tu kwenye thread lazima nile ban niliwauliza tu kama hamtaki nifike jukwaa la siasa mniambie sitafika nitashinda zangu jukwaa la wakubwa mana mtu anakupa ban vitu havina hata maana nikawaambia naona na huyu mod atakuwa mgeni ameamua kujifunzia ban kwangu kunifatilia kila ninachofanya
Anataka mbunyeee huyooo
 
Ya kwanza nilicomment thread za maandamano wakanipa ya siku moja wakaniambia mods hawapendi kusikia habari za maandamano ya pili kuna thread iliwekwa siasani kuhusu jamii forum ya sasa sio kama ya zamani hakuna uhuru wa kuongea nikacomment jf ya sasa inabidi tukae kimya eenh nikapewa ban ya siku mbili eti nazuia watu kutoa michango yao nazuiaje mm
Huyuu nayeee falaaaa kabisaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Itakuwa umeonewa
Hata hizo ninazopewa si ninaonewa yaan ban ya pili ya siku mbili iliniuma sana mpaka nimewaandikia thread watu wameongea sana kuwa nilionewa wanakuja kufuta comments baadae na uzi ukafutwa mbona thread nyingine za malalamiko huwa wanakuja kwa nini yangu hawajaja wamekuja kufuta
 
Back
Top Bottom