Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Jambo dadake karibu hapa mpuhi kula kuku wa kinyamwangaShikamooni makapuku wote [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Jambo dadake karibu hapa mpuhi kula kuku wa kinyamwangaShikamooni makapuku wote [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Teh teh tehKwani huko hakuna mod wa kike huko ...kama hawapo geishaa haikosiiii
Bwana mbele, bibi nyuma.Tutakuwa tunaongozanaa
Shunie akee niuzie hatimiliki ya hii mfyuuu zako[emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mfyuuu zako
Shem lake.Wako pouwa
Marhabaa shemehi, uhali gan kipenz cha ndugu yangu shululu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] shikamoo shemeji[emoji119] [emoji119]
Mari ya habaShikamooni makapuku wote [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Upo mpui kaka ake[emoji39] [emoji39] [emoji39]Jambo dadake karibu hapa mpuhi kula kuku wa kinyamwanga
Abeee[emoji4] [emoji4] [emoji4]Shem lake.
Nko pouwa kabisaMarhabaa shemehi, uhali gan kipenz cha ndugu yangu shululu.
Ndio ila ndo narudi kwetuUpo mpui kaka ake[emoji39] [emoji39] [emoji39]
He he naona hata da vinci kaiiba ebu niambie utanipa sh ngapi nijirecord nikutumieShunie akee niuzie hatimiliki ya hii mfyuuu zako[emoji23] [emoji23]
Jirekodi unitumie mdogo wangu. Nataka niweke ringtone ktk cm yangu.
Binamu asante sanaMuziki: Machi ya Kumatchisha
Umeamka na umekuwa na siku nzuri na sasa ni usiku. Hili halina ubishi na hata kama nimeanza kuandika bila kukupa Hi haimaanisha sitambui uwepo wako wewe kapuku unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. najua tunatembelea maeneo tofauti lakini mwisho wa siku wote tunakutana hapa na kugonga tano na kusmile, ndo zetu sisi watu wa kujitambua.
Muziki sasa, kesho ni Jumatano kama ulikuwa hujui nakukumbusha tu na wala usijipe kazi ya kuniambia asante kisa tu nimekukkumbusha kuhusu siku yako ya kesho.
Michi yuu weye..Abeee[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nafurahi kuona uko poa.Nko pouwa kabisa
MopaoAsante aunt Shunie kwa magazeti, nimemaliza kuyasoma, si unajua kawaida yangu kusoma wa mwisho. Pole na kadhia ya mod kukubania siasani.
Anko Lyon Lee nashukuru salamu zako nimezipata na nitakupa mrejesho ukitoka Kampala
Kama kawaida i jambo zuri kukuona mtaasisi mwenzangu Nyagei , Tumosa , makaveli10 mopao mukulu muzee ya senegali, Transcend
Wakija watu wa masjala waulizieni kina Tetramelyz mutu yake na moneytalk na kwanini mzeewakungoa anakuja kimagutumagutu kama ilivyo kwa shululu
Sawa kakaTafasiri Unavyoweza: Usitoe Busara Kama Husikilizi
...kuna mkutano mkubwa unaendelea huko Kigali, ni masuala ya kibiashara, ushuru na vitu kama hivyo. Lengo ikiwa ni kuondoa vikwazo vinavyofanya biashara ndani ya Africa kukumbwa na changamoto toka kwa nchi na nchi. Wakuu kadhaa wamehudhuria na wengine kuwakilishwa na viongozi mbalimbali na wengine wamekataa kuhudhuria hadi pale watakaposikiliza wafanyabiashara ndani ya nchi zao ndo waweze kuhudhuria mapatano ya aina hii. hizi ndizo busara tunazopaswa kuziona kwa viongozi wetu. Tafasiri unavyoweza.
Kazi ya kiongozi ni kuongoza, na si kutawala. Mtawala hasikilizi, anajiona anajua yote na wewe mtawaliwa huna chochote unachoweza kuchangia katika kuyafanya maisha ya taifa kuwa yenye kumnufaisha kila mmoja. Mtawala siku zote atafanya kila analoweza kuhakikisha kuwa mawazo yake ndo yanatangulia mawazo yako.
Waangalie wabunge, hawa ni wawakilishi wa wananchi majimboni, ni mara ngapi wameitisha mikutano ili kusikiliza mawazo yako wakayawasilishe bungeni (indirect democracy). Narudia tena kusema, busara ni kusikiliza, usijione una busara za wote kwa sababu tu umekaa kwenye kiti na umezungukwa na vyombo vya dola iwe kwa nafasi yoyote.
Busara za kiongozi zinakuja baada ya kuwa amesikiliza anaowaongoza wanasemaje, kuheshimu wanayosema hata kama hakubaliani nanyo maana kukubaliana kupo kwenye kutokubaliana na kutengeneza maamuzi yanayokubaliwa na wengi na wala si maamuzi ya kiimla ambapo wote wanaoonesha kutokubaliana awe unawasakizia mbwa. tafasiri unavyoweza