Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tafasiri Unavyoweza: Serikali, Ajira Bila Maandamano

Mapema wiki hii kumemalizika makubaliano makubwa kabisa ya kibiashara ndani ya Afrika (intra-trade agreement). Nchi 44 zimesaini makubaliano haya ikiwemo nchi yetu. Hili ni jambo zuri na sihofii kwamba mwakilishi wetu alisaini akiwa na maslahi nje ya Tanzania na wananchi wake. Makubaliano haya yana maana gani kwa uchumi na siasa ya Tanzania!? Hili ni suala la mtizamo na kwa upande wangu naiona fursa ya ajira zaidi ikiwa siasa itachukua nafasi pana ya kutoa nafasi isyobadilikabadilia (policy consistency) sio kila awamu inakuja na jambo lake, msingi hujengwa kwa mawe, haihitaji shahada kulijua hili. Tafasiri unavyoweza.

Tanzania, ukiondoa nchi za Nigeria, Misri, na SA tuna idadi kubwa sana ya watu na wengi katika jumla hii ni vijana. Kutokana na kutokuwepo kwa misingi rafiki ya ajira kwa vijana, idadi kubwa ya vijana wa Kitanzania inakabiliwa na ukosefu wa ajira. Zama zile za serikali na taasisi zake kuwa mwajiri mkuu zimepita, ilikuwa ni kawaida miaka ya 70s na 80s kijana kumaliza chuo kuajiriwa lakini kwa sasa, vijana wengi wanamaliza vyuo na ajira zinakuwa ni ngumu kupatikana na hata kujiajiri bado kuko kwenye midomo na makaratasi tu sio kwenye uhalisia. Tafasiri unavyoweza.

Mwili na akili isiyotumika hupatwa na vishawishi hasi (idle body/mind is the devil's workshop) na hili ni la kuangaliwa kwa umakini mkubwa, ajira ni muhimu, ni sifa ya kila mwenye uwezo. Kijana ajira inakujengea kujiamini, inakupa nafasi ya kupata hitaji la moyo na mwili (date). Kufanikisha haya, serikali ishirikiane na sekta binafsi kuhakikisha kuwa vijana wengi wanapata ajira na wala mawazo ya kipuuzi, yatakuwepo lakini hayatakuwa na ufuasi mkubwa. Ni jukumu la serikali kuandaa mazingira wezeshi kwa kijana kukabiliana na makubaliano ya biashara huru ndani ya Afrika, sisi tutakuwa na nafasi gani? Tafasiri unavyoweza.

000_Par6763868-Cropped.jpg
 
Muziki: Wiki Kati

Ninakusalimia sana Kapuku mheshimika na leo tayari wiki tumeikata nusu tunajiandaa kuisaka alhamisi ambayo kiukweli iko karibu sana na Ijumaa-Furahiday. Nimekuwa na wakati mzuri sana tangu j3 ianze na ndotoni nilioteshwa kuwa nawe umekuwa na wiki nzuri japo hujataka wengine tufahamu.

Wiki hii nilikuwa na anko wangu Lyon Lee ,alikuwa na tabasamu muda mwingi na nikataka kujua sababu ya yeye kuwa na uso wenye bashasha kwenye zama hizi za umajununi wa TRA, akatulia na kusema yule mke wake ambaye humu hamumjui alikosa fursa ya kuhudhuria mkutano wa wafanyabiashara wenye viwanda nchini. Mkutano uliitishwa na mheshimiwa sana na kwa kuwa mchepuko wa anko ana vyerehani vinne basi alistahiri kuonana na wafanyabiashara wenzake wenye viwanda na hof ya anko ilikuwa akionana na wenye viwanda wenzake basi chances za yeye kupinduliwa zilikuwa kubwa sana. Upepo ulikuwa upande wake, kama tu wenye viwanda vya pipi hawakuitwa itakuwa wenye vyerehani vinne. Hongera sana anko wangu

Muziki sasa, nakukumbuka sana Kapuku na ninakusalimia kwa jina la Tanzania ya viwanda na ukosefu wa ajira

Waduwanzi hawa.
 
Suka chile ntakupiga risasi...[emoji23] [emoji23]

Lyon lee chupuchupu
 
Asante binamu
 
Back
Top Bottom