Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Katingwa na majukumu anatutafutia ugaliMzee mwenzangu mbona simuoni shemeji.?
Katingwa na majukumu anatutafutia ugaliMzee mwenzangu mbona simuoni shemeji.?
Uwiiiiiii [emoji39][emoji39][emoji39] umenitajia Heineken mate yote yamenijaa naomba hizo katoni basiNakutamanishaje bibie, pesa makaratasi, pesa yake matumizi bibie, tena nakuongezea na katoni 10 za heineken uweke kwenye friji uwe unajipozea roho taratibu.
MhKatingwa na majukumu anatutafutia ugali
Uwiiiiiii [emoji39][emoji39][emoji39] umenitajia Heineken mate yote yamenijaa naomba hizo katoni basi
Binamu mfyuuuuu zako[emoji57][emoji57]
Binamu mfyuuuuu zako[emoji57][emoji57]
Yaah! am back now...Hi Shadrack! Long time man....
Nipo hapa jana na leoPlz naomba ukiona jina lako qoute...
-shunie
-lyn lee
-transcend
-makaveli
-blessedhope
-obe
-tumosa
-shululu
-mndali
-Da'vinci
Nimewamis saana jamani
Unafungua kila kitu mpaka suruali...huu msonyo wako unaweza ukafungua kizibo cha bia
Yaah! am back now
Maka akee unaongea na simu auNampa hongera,uanaume sio kujua kwichi kwichi tu,na ujue kuutafuta ugali wa kumlisha mama kwichi kwichi.
Kiswahili pls...greta, it is always good to see you here, welcome back! Do you still do the witch stuff, remember!!....or you got some real stuff keeping you busy...
Ninajikumbusha tu hukupenda kuchat kiswahili umenunua apple LP na ni mwendo wa ung'eng'e tu
Kiinglish changu kimekomea hapa
Katoni zipo plus laki na nusu, we fanya mpango wa hiyo voice note mie niweke ringtone kwangu.Uwiiiiiii [emoji39][emoji39][emoji39] umenitajia Heineken mate yote yamenijaa naomba hizo katoni basi
Ukuje kigamboniUwiiiiiii [emoji39][emoji39][emoji39] umenitajia Heineken mate yote yamenijaa naomba hizo katoni basi
Mbona kuguna shunie akee