Makapuku Forum

Makapuku Forum

Domo zegee huyooo alafu mbona huo uzii wa maandamano nilikuwepo ...au siku hizi kila mtu ana mod wake mfano wako hataki uende huko wasije kumnyanganya
Yaan hata sijui ila nilichoona hawataki niende siasani na me sasa hivi bila kuingia jukwaa la siasa naona bado sijaingia jf siku mbili nimefululiza kuingia siasani na ban juu
 
Hata hizo ninazopewa si ninaonewa yaan ban ya pili ya siku mbili iliniuma sana mpaka nimewaandikia thread watu wameongea sana kuwa nilionewa wanakuja kufuta comments baadae na uzi ukafutwa mbona thread nyingine za malalamiko huwa wanakuja kwa nini yangu hawajaja wamekuja kufuta
Mie hawanipi hizo ban zao, wakinipa safi tu nakula likizo.
 
Back
Top Bottom