Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,011
- 150,546
Tuko poa jombaaaaPoa, vip kiongozi!?
Tuko poa jombaaaaPoa, vip kiongozi!?
Tena nilipata mara 2 nimepewa leo moja inaisha kesho inafika kesho nafunguliwa bada ya masaa machache napata ya siku mbili mods waliniudhi mpaka nikawaandikia thread na wakaifuta hawajanijibuMam d mi niliuliza tu hivi ulikula ban kweli ??
Hahahahh nitakuja upepo unapovumaUngekuja shunie ake!![emoji23] [emoji23]
Mishe zinsendaje!?Tuko poa jombaaaa
Kisa na mkasa...Tena nilipata mara 2 nimepewa leo moja inaisha kesho inafika kesho nafunguliwa bada ya masaa machache napata ya siku mbili mods waliniudhi mpaka nikawaandikia thread na wakaifuta hawajanijibu
Ahad yako nishaizizoea ni km ile ya mkulu milion 50 kila kijiji..Hahahahh nitakuja upepo unapovuma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yawezekana kuna mod mmoja umemchunia pmTena nilipata mara 2 nimepewa leo moja inaisha kesho inafika kesho nafunguliwa bada ya masaa machache napata ya siku mbili mods waliniudhi mpaka nikawaandikia thread na wakaifuta hawajanijibu
Hakuna hata pm inayoingia namchuniaje sasa hawataki nifike jukwaa la siasa nikicomment tu kwenye thread lazima nile ban niliwauliza tu kama hamtaki nifike jukwaa la siasa mniambie sitafika nitashinda zangu jukwaa la wakubwa mana mtu anakupa ban vitu havina hata maana nikawaambia naona na huyu mod atakuwa mgeni ameamua kujifunzia ban kwangu kunifatilia kila ninachofanya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yawezekana kuna mod mmoja umemchunia pm
Nimecheka [emoji3][emoji3]Ahad yako nishaizizoea ni km ile ya mkulu milion 50 kila kijiji..
Ya kwanza nilicomment thread za maandamano wakanipa ya siku moja wakaniambia mods hawapendi kusikia habari za maandamano ya pili kuna thread iliwekwa siasani kuhusu jamii forum ya sasa sio kama ya zamani hakuna uhuru wa kuongea nikacomment jf ya sasa inabidi tukae kimya eenh nikapewa ban ya siku mbili eti nazuia watu kutoa michango yao nazuiaje mmKisa na mkasa...
Wasalimie huko ulipo, waambie HAPA KAZI TUNadhani bado yupo huko mi niko nje ya mji kidogo kwa sasa
Wakuu [emoji818]Wakuuu + anko binamuuu nawasalimia
Huku tunasema kosea kurudi kwako usikosee matumiziWasalimie huko ulipo, waambie HAPA KAZI TU
Umekuwa mwalimu toka lini?Wakuu [emoji818]
Wakuuu [emoji777]
Atakuwa amevutiwa nawe hivyo hataki uende kuleHakuna hata pm inayoingia namchuniaje sasa hawataki nifike jukwaa la siasa nikicomment tu kwenye thread lazima nile ban niliwauliza tu kama hamtaki nifike jukwaa la siasa mniambie sitafika nitashinda zangu jukwaa la wakubwa mana mtu anakupa ban vitu havina hata maana nikawaambia naona na huyu mod atakuwa mgeni ameamua kujifunzia ban kwangu kunifatilia kila ninachofanya
Mmmh, nani yuko salama huko?Ya kwanza nilicomment thread za maandamano wakanipa ya siku moja wakaniambia mods hawapendi kusikia habari za maandamano ya pili kuna thread iliwekwa siasani kuhusu jamii forum ya sasa sio kama ya zamani hakuna uhuru wa kuongea nikacomment jf ya sasa inabidi tukae kimya eenh nikapewa ban ya siku mbili eti nazuia watu kutoa michango yao nazuiaje mm
Ni lazima nitafsiri au sio lazima?Huku tunasema kosea kurudi kwako usikosee matumizi
Toka KF inaanzaUmekuwa mwalimu toka lini?
Watu wanataka gigy money ye hatak[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yawezekana kuna mod mmoja umemchunia pm