Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante Shunie kwa magazeti, imependeza sana.

Nimefurahi kukuona shululu , afadhari yenu bado mnapambana kwenye mechi za futuhi day, sisis tumetoka.

Kama kawaida ni jambo zuri kukuona mdau wa ukweli makaveli10 , mtaasisi Nyagei wimbo utakuja.

Anko Lyon Lee weekend imemkamata ameomba ED asiende kazini (yeye ni bosi wa mabosi sasa kamuomba ruhusa karani asiende kazini, karani hajajibu ombi)

Transcend , SHIMBA YA BUYENZE , husna muba (naimani unaendelea vizuri na mng'ato wa yule mdudu), BlessedHope , Sakayo , mama JJ Tumosa , mzeewakungoa Mwifwa , Mndali ndanyelakakomu , moneytalk asante kwa kuja leo, ABJ , Clkey , dumejeuri , Mkushi wa kusi , dingimtoto , Jolie Jolie , na wewe unayenisoma sasa, ninyi ni watu wema na mnalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Uwepo wenu ni sababu tosha kabisa ya wengi wetu kuwa humu
[emoji818] [emoji818] [emoji818]
 
Muziki: Kwenda kwa Kurudi


.....ninakusalimia Kapuku mheshimika na kutaka kukujulisha tu kuwa bila wewe jukwaa hili, yes, hapa MF pasingefaa kitu kama wewe haupo. Asante sana kwa kuwepo hapa. Ni matumaini yangu ulikuwa na weekend nzuri, upande wangu ilikuwa poa sana na kimvua hiki utelezi mwingi usitembee peke.

Muziki sasa, mtaasisi mwenzangu Nyagei kapendekeza wimbo huu umuendee wake wa moyoni Linamo , nami bila hiyana nasema tuburudike wote bila kwere


Ahsante sana mtaasisi kwa kibao matata
 
giphy.gif
 
Back
Top Bottom