PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
yap ni kweli ila maramojamoja nilikuwa napitia japo kumwaga like kadhaa kisha naendelea na kibarua cha kusaka sukar ya bureBrother ulipotea sana.

yap ni kweli ila maramojamoja nilikuwa napitia japo kumwaga like kadhaa kisha naendelea na kibarua cha kusaka sukar ya bureBrother ulipotea sana.

hahaha...sio mbaya Jmosi bado siku 4 ifikeJumatatu iko poaaaa
Japo Nataman leo ingekuwa jumamos
Kaka hujasema umeondokewa nanMzima wewe?
Pamoja sana brother.yap ni kweli ila maramojamoja nilikuwa napitia japo kumwaga like kadhaa kisha naendelea na kibarua cha kusaka sukar ya bure![]()
ndio mkuu maana ukishaona like tayari uwepo wake umeshaonekana tayari hata bila ya salamuKawaida mkuu,unajua kugonga likes ndiyo salamu ya kwanza kwa makapuku.
Yupo wapi "Lione Nessi"![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Ujumbe maridhawa...asante.Nimefurah kuona Dp za watu zikipambwa na Picha za Mama zao bila kusahau Bonge la status ikisindikizwa na Neno la *Happy Mother's Day au #Ahsante Bi Mkubwa*
Swali ni Je Mama ataonaje huo Ujumbe ikiwa Smartphone ulimnunulia Demu wakoo?? ....
*Think Big* Hakuna kama mama
Viva Makapuku ForumPamoja sana brother.
kwema mkuu, mambo vp?Habari ya asubuhi wadau.
hahaha sawa...La Liga na Mfalme kama kawa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Pamoja sana shem.Asubuh ni njema
Neema Jr naye asimwacheLuiza Shuzi je![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
................
kweli ushabiki ni shida brother!
Asante kaka, tuko pamoja.Poleni rafiki
hahaha...enzi za babu Fegi