Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,652
Shikamoo binamu
...shikamoo ya usiku namna hii utasema umelala bila kuoga
Shikamoo binamu
NzuriSalama hbr ya uzima
Hiyo video mbona ni fally binamu
Poa moud habari ya wewe tumekumiss humuHabari yako Shunie
Unaenda wapi jaman mdada wa gauni la blue nataka nipost pic yakoNapata tuu jamani
Hapana bana ilikua hiyo hiyo j5 kumbe unatumiaga teknoJuzi ilikua tecno j7![]()
![]()
![]()
![]()
Unabisha tu ila ilikua tecno .....simu inategemea nilipo na yupi nakua nae nachukua kwa mda naingia jf mambo yanasongaHapana bana ilikua hiyo hiyo j5 kumbe unatumiaga tekno
Dah tufunge huu mjadala jaman hiyo tekno haijaleta signature toka juzi naona j5 jana nilishindwa vumilia nikaamua kuongeaUnabisha tu ila ilikua tecno .....simu inategemea nilipo na yupi nakua nae nachukua kwa mda naingia jf mambo yanasonga
Yawezekana uko sahihi make hata juz nilikua nayo j5 japo jana ndo nimeitumia frequently...uko poa lakinDah tufunge huu mjadala jaman hiyo tekno haijaleta signature toka juzi naona j5 jana nilishindwa vumilia nikaamua kuongea
Namshkuru sana Mungu aliye juu nipo poa sanaYawezekana uko sahihi make hata juz nilikua nayo j5 japo jana ndo nimeitumia frequently...uko poa lakin
Kuna muhubiri fulani hivi miaka ya 90s alikuwa anahubiri sana hapa nchini unamkumbuka?Mhubiri maarufu kwenye luninga (Televangelist) Billy Graham amefariki dunia leo hii siku ya Jumatano 2/21/2018 akiwa na miaka 99.
![]()
The Rev. Billy Graham, Who Reached Millions, Passes Away - Positive & Encouraging K-LOVE
Marhaba kapukuShikamooni makapuku wote![]()
![]()
![]()
![]()
NipoSikuoni
HaaaaaAmina amina my dear barikiwa mno Kipenz
Hello
Yes mtaasisiWow! Asante kwa offer, japo hujasema utampa kwa malipo (kumuuzia) au utampa bila malipo.
Najua wapo wadau watanufaika na hili iwavyo vyovyote.
Side Note: Tukibaliane tu kuwa Makapuku ni sehemu nzuri kuwepo. Ushahidi ni wa huyu mdau